4 Days Holiday In Dar es Salaam. May 3, 2012

@My brother’s place

 

After send off party last night, kesho yake kitu cha kwanza ni kutafuta chakula kitamu lol!  Inachekesha sana kweli tunatofautiana hapa naangalia picha za chakula roho yote inanitoka ila hubby yeye anasema kuwa eti chakula kama hiki kinamtoa kabisa hamu ya kula jamani kweli tunatofuatiana. Mimi na Tanzania food kwa kweli siwezi kuvumilia ninyime chakula chochote ila si my TZ food jamani hahahaaaaa…nimeshakitamani tayari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *