Aitutaki Lagoon Cruise-Our around the world trip Nov-Dec 2013

with my babies
with my babies

OMG! What a beautiful place kama inavyoonekana kwenye picha ni breathtaking kwa kweli. Siku nzima tulifanya kuzungukia visiwa hivi huku tukifurahia traditional music na kupata local lunch ya nguvu. Hii boat pia ilitumika kwenye reality tv show survivor Cook Islands kwa wale ambao wameangalia hii show, wanaweza nielewa zaidi.

with my babies
with my babies

 

welcome drink madafu baridi
welcome drink madafu baridi

 

Wow!
Wow!

 

Aitutaki men, oh boy!
Aitutaki men, oh boy!

 

mama Amika
mama Amika

 

Kids having fun
Kids having fun

 

Cruise boat
Cruise boat

 

Beautiful Island
Beautiful Island

 

mama Amika
mama Amika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *