@Grand Hyatt Hotel Dar, Mar. 2012

The family, I love you guys xox

 

Ilikua ni uamuzi mzuri kupata brunch pamoja na ndugu zangu kaka yangu na mdogo wangu ambapo tulipata muda mzuri wa kuongea na kukumbuka mengi. Nadhani marehemu mama Fatuma huko alipo alifurahi sana ingawa mdogo wetu Obuya alikosekana siku hii. Inafurahisha sana mara moja moja kukutana namna hii, nilifurahi sana na roho yangu ilikua nyeupe baada ya hapo maana tumepitia mbali na mengi mpaka kufikia hapa kweli mungu mkubwa. I love you guys very much xoxo

 

 

2 thoughts on “@Grand Hyatt Hotel Dar, Mar. 2012”

  1. My dear, looks like you had lots of fun! It’s good to reconnect with family and friends. You & your sis kinda look alike…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *