Off to Aitutaki, Cook Islands-Our around the world trip Nov-Dec 2013

Off to Atuitaki Island with Rarotonga Airline
Off to Aitutaki Island with Rarotonga Airline

Tuliondoka mji wa Raratongo na Rarotonga Airline ambapo ilituchukua karibu saa moja kufika Aitutaki. Kisiwa hiki ni moja ya visiwa vingi vilivyozunguka Cook Islands ni kisiwa kizuri sana chenye wakazi wachache sana. Kisiwa hiki kipo karibu na visiwa vingine vidogo vingi so ni njia rahisi kutokea hapa kuelekea kwenye visiwa hivyo kwa njia ya boat. Tukiwa angani tuliweza kuona visiwa hivyo kwa juu uku vikizungukwa na lagoon ambapo ina pendeza sana. Tuliwasili na kupokelewa na mtu kutoka resort tunayofikia huku tukivalishwa mataji ya maua na kupewa kinywaji cha madafu yakiwa baridi kabisa, was so nice :)

Off to Atuitaki Island with Rarotonga Airline
Off to Aitutaki Island with Rarotonga Airline

 

Just arrived Atuitaki Island
Just arrived Aitutaki Island

 

On our way to hotel
On our way to hotel

 

Our home for 3days
Our home for the next 3days

 

We had to check the beach first, beautiful!
We had to check the beach first, beautiful!

 

Beautiful place
Beautiful place

Kwa bahati mbaya siku hii tuliyoingia kulikua na bushfires na resort yetu ilikua karibu kabisa na hills zilizokua zinawaka moto. Wenyeji walijitahidi karibu usiku kucha kuzima na kujaribu kuzuia moto usije kwenye makazi ya watu. Tuliogopa ila moto haukufika kwenye makazi but moshi wake sasa uligeuza paradise kuwa si paradise kabisa harufu ya moshi ilikua too much :(

Bushfire
Bushfire

2 thoughts on “Off to Aitutaki, Cook Islands-Our around the world trip Nov-Dec 2013”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *