Australia!!!

With hubby in Sydney

 

I love this country kwa kweli, nikiwa nimeolewa hapa na watoto wangu wakiwa wa nchi hii naweza kusema kuwa ni nyumbani pia. Watu wa nchi hii ni wenye upendo na wanaodhamini watu sana bila kujali pande gani ya dunia hii ulikotokea. Hii ni sifa kubwa ambayo ilinifanya nipapende sana tangu nilivyoiniga kwa mara ya kwanza mwaka 2002.

 

3 thoughts on “Australia!!!”

  1. halloo zawadi mzima mm ni leyla sijui unanikumbukatulosoma wote mlimwa darasa moja na dada yako costansia.mie naishi london nilibahatika kukutana na kk yako hassan once i just saw u in ths website say hallooo to all and hop baba yako ni mzima na wote

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *