Family in Bangkok, Thailand. 2009

My kids Amani and Malaika xx

 

Safari hii tuliweza kukaa Swissotel Bangkok was wonderful and kitu kilichonishangaza hapa ni kwamba iko katikati ya jijiĀ  la Bangkok but ukiwa kwenye garden yao uwezi amini utafikili uko country side, beautiful big garden ambayo ina pendeza sana. Anathor amazing hotel with it’s own character, that’s way I like it. Cheers!!!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *