Category Archives: Malta

Around the world trip Nov-Dec 2013-Valletta, Malta

 

Malta
Malta

 

Valletta, Malta
Valletta, Malta

 

Valletta, Malta
Valletta, Malta

Today is 4th Nov tumewasili saa mbili asubuhi na tutakuwepo hapa mpaka saa saba mchana ndio tuta departure ila watu wote wanatakiwa kuwa ndani ya meli by saa sita na nusu. Valletta ni capital ya nchi ya Malta, inajulikana kama Il-Belt (English: The City) in Meltese. Valletta ni mji wa zamani sana ina majengo ya 16th century na kuendelea, built during the rule of the knights of St. John of Jerusalem. Kwa wale wasoma biblia kuna sehemu mji huu umeelezewa pia. Mji wa Valletta ulitambuliwa rasmi kama a World Heritage Site na UNESCO in 1980.

Asubuhi tukiwasili Valletta, Malta
Asubuhi tukiwasili Valletta, Malta

 

Our cruise ship MSC Divina
Our cruise ship MSC Divina

 

With my girl in Malta
With my girl in Malta

 

Baada ya nje ya meli, moja kwa moja tukachukua taxi kuelekea kwenye tour yetu ya leo
Baada ya nje ya meli, moja kwa moja tukachukua taxi kuelekea kwenye tour yetu ya leo

Tulipata bahati ya kupata booking ya kuona mji wa Hypogeum ambapo unasemekana ni kati ya miji ya zamani sana dunia ulikuwepo hata kabla Jesus kuzaliwa. Mji huu uligundulika na wajenzi maana uko underground, uligundulika wakati watu wameshaweka makazi yao juu. Sehemu hii inahifadhiwa kwa hali ya juu picha za namna yoyote ndani haziruhusiwi kwa hiyo tulishindwa piga picha. Wenyewe wanatania wanasema ni experience ya kipekee uhitaji picha inabidi uweke kichwani kwako tu :)

Nikiwa na wanangu nje ya Hypogeum, Malta
Nikiwa na wanangu nje ya Hypogeum, Malta

Ni kazi sana kupata booking ya kutembelea Hypogeum unatakiwa kufanya booking angalau 3months kabla ya kwenda maana kuna watu wengi wanasubiri kutokana na sheria yao ya kuachia watu wachache sana kwa siku kuingia ndani. I was happy to be one of them thanks to my smart husband :)

Outside Hypogeum
Outside Hypogeum

 

Outside Hypogeum with my kids
Outside Hypogeum with my kids

Baada ya kushangaa Hypogeum tukaingia mitaani kidogo kushangaa shangaa kabla ya kurudi melini. Katika tembea tembea nilishangaa kuna sehemu kulikua kuna waafrika wengi nilipouliza nikaambiwa kuna kambi ya wakimbizi eneo hilo. Inasemekana wanavuka na boat kutokea Africa, Malta haiko mbali na bara la Africa ni bahari tu ndio inatenganisha.

Niko katika eneo ilipo Hypogeum
Niko katika eneo ilipo Hypogeum

 

My family in Malta
My family in Malta

 

With my baby girl
With my baby girl

 

Old church in Malta
Old church in Malta

 

Nikiwa Valletta, Malta
Nikiwa Valletta, Malta

 

Malaika akiwa kituo cha basi tukisubiri public bus kuturudisha Port
Malaika akiwa kituo cha basi tukisubiri public bus kuturudisha Port

 

With my kids on public transport in Malta
With my kids on public transport in Malta

 

Hubby with kids na nyuma ni our MSC Divina
Hubby with kids na nyuma ni our MSC Divina

 

With my kids behind us is our MSC Divina cruise ship
With my kids behind us is our MSC Divina cruise ship

 

With my kidos
With my kidos

 

Mama Amika in Malta
Mama Amika in Malta

 

Nilishindwa kujizua kupiga picha ya hii petrol station
Nilishindwa kujizua kupiga picha ya hii petrol station

 

View wakati tunaondoka Malta
View wakati tunaondoka Malta

 

Tuliweza kuzoom watu kwenye light house inayoonekana kwenye pic ya hapo juu tukakumbana na watalii nao wakiwa busy kupiga picha meli yetu
Tuliweza kuzoom watu kwenye light house inayoonekana kwenye pic ya hapo juu tukakumbana na watalii nao wakiwa busy kupiga picha meli yetu

 

Bye bye Malta until next time
Bye bye Malta until next time

 

NAUTICAL INFORMATION: The sunrise brings us the beautiful coastline of Malta, which is visible from the bow (front) of the ship. The entry to the port of Valletta is characterized by the presence of St Elmos’s Fortress, on the right and Ricasoli on the left. After disembarking the pilot, we will coast along the Northern coasts of Malta for one hour, visible on the Port (left side) of the ship. Navigation will continue with a Westerly route in the direction of the Spanish Iberian Sourthen coast. Suggested dress tonight: INFORMAL