Disney World Magic Kingdom Orlando, Florida-Our around the world trip Nov-Dec 2013

Disney World
With my babies

Ikiwa ndio Disney World pekee maana zote zilizobaki ni Disneyland ilikua furaha kubwa kwa Amani na Malaika kufika hapa. Wiki hii ilikua ni wiki ya Thanksgiving so watu walikua wengi sana kwenye park hii ilifanya kuwa na foleni kubwa kila sehemu ila tulifanikiwa kutembelea sehemu kubwa ya park pamaoja na kujaribu rides tofauti tofauti. Too bad hatukuweza kusubiri mpaka fireworks sababu kipindi hiki walikua wanaanza usiku wa saa nne, watoto walikua wamechoka sana si rahisi wangeweza kusubiri zaidi.

With Amani and Malaika
With Amani and Malaika

 

The parade
The parade

 

The parade
The parade

 

The parade
The parade

 

With my kids in Disney World
With my kids in Disney World

 

In Disney World with my kids
In Disney World with my kids

 

We love this place, Small World
We love this place, Small World

 

Princess with Malaika
Princess with Malaika

 

Malaika with princess
Malaika with princess

 

We had a great time
We had a great time

 

With my baby girl
With my baby girl

 

With my girl
With my girl

Nikiwa nimepata bahati ya kutembelea Disney tatu mpaka sasa ikiwemo California, Hongkong na hii Orlando na mara zote najikukta nikiwa na furaha sana maana unajikuta umekua kama mtoto :) Ningependa pia kutembelea Disneyland Paris na Singapore. Amani yeye ikiwa ni mara yake ya pili Disney wakati Malaika yeye ndio mara yake ya kwanza sasa alifurahije, ameomba arudi tena siku nyingine eti muda ulikua mdogo sana lol! :)

4 thoughts on “Disney World Magic Kingdom Orlando, Florida-Our around the world trip Nov-Dec 2013”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *