Family at Alila Resort, Oman-Weekend getaway 2014

Mr. Amani
Mr. Amani

Maji ya pool yalikua baridi ila kama unavyoona watoto hawataki toka kwenye maji mpaka giza linaingia kama inavyoonekana kwenye picha lol!

2 thoughts on “Family at Alila Resort, Oman-Weekend getaway 2014”

    1. Wanapenda sana yaani Mercy wakiingia hawatoki na kama ni jua kali basi hapo ujue watakushindisha kwenye hilo jua mpaka uwe mweusi kama mkaa lol!
      XOXO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *