Family weekend getaway at Alila Resort, Oman-July 2014

Miss Malaika
Miss Malaika

Kulikua na baridi lakini watoto hawakutaka kutoka ndani ya maji lol! Walichokua wanafanya ni kuogelea wakisikia baridi wanaenda kwenye pool ya ndani ambayo ina maji ya moto then wanarudi nje heheheee…kazi ya mama ilikua ni kuwapiga picha na kusmile :)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *