Gold Coast, Australia

Gold Coast

 

I love this place, kwenye future ningependa mimi na familia yangu kuishi  hapa. Hali ya hewa ni nzuri si baridi sana kipindi cha winter wala si joto sana kipindi cha summer. Nilikuja hapa kwa mara ya kwanza 2003 safari hii 2009 ni mara yangu ya pili. Kwa ujumla napenda sana kuishi eneo la Queensland. Tulitelemkia Brisbane Airport na kukodi gari ambalo tulidrive to Gold Coast. Safari hii ilikua much fun kwa sababu ya Amani na Malaika ilikua mara yao ya kwanza. Walifurahia sana Dream World na Currumin Zoo. Tulikua hapa familia nzima ambapo tulikaa kwa wiki moja hivi ilikua furaha kubwa kwa familia nzima kwa ujumla.

Holiday house ambayo tulikodi ilikua kubwa yenye uwezo wa kutuweka watu wote kumi. Tulipenda sana eneo hili ambapo lilikua zuri na backyard yake ilikua nzuri sana. Kitu kingine kilichonifurahisha hapa kulikua na big Mall karibu sana ambapo ni dk 5 tu kufika kwa wale wapenda shopping kama mimi ilikua ni superb.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *