@Grace Send Off Party, 3rd May 2012

Grace Send Off Party

 

Napenda kusema kuwa kushukuru ni kitu kizuri sana hasa pale unapokubali kuwa umesaidiwa na mtu kwa namna moja au nyingine. Rafiki yangu Grace alinisaidia kipindi ambacho kilikua kigumu kwangu ambapo alikua hajui hata kama ananisaidia. Leo hii ilikua furaha kwangu kwenda kusheherekea pamoja nae kwenye harusi yake. Nilifika the same day na kuweza kuwahi kumpongeza katika send off party yake ambayo ilipendeza sana. Hongera Grace Mpungu na asante sana kwa kunikaribisha, sherehe ilikua nzuri tulifurahi na mrembo wetu ulipendeza sana xoxo

 

8 thoughts on “@Grace Send Off Party, 3rd May 2012”

  1. Umependeza sana Bahati.I love the dress too,its beautiful and your body makes it more beautiful.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *