Las Vegas, Nevada USA-Our around the world trip Nov-Dec 2013-Day 1

Just arrived in Vegas, ndani ya Limo
Just arrived in Vegas, ndani ya Limo

Baada ya experience yetu ya baridi Niagara Falls Buffalo tuelekea Vegas hapa tuliwasili kwa staili ambapo baba Amika alikua ameandaa Limo kuja kutuchukua Airport na kutuzungusha Las Vegas strips kwanza kabla ya kutupeleka hotel. Tulifikia Luxor hotel ambayo iko kama pyramid, hii illikua ni chaguo la watoto walitaka kulala kwenye pyramid hotel. Baada ya kuwasili hotelini na kujiandaa tulielekea kwa dinner then tulipata nafasi ya kuzunguka hotel na maeneo ya karibu kushangaa kama inavyojulikana Las Vegas kila kitu ni cha kushangaa tu lol! Tutakuwepo kwenye hotel hii only for one night kesho tutaelekea hotel nyingine ambayo ni chaguo la mama :)

Hubby and Malaika ndani ya Limo
Hubby and Malaika ndani ya Limo

 

At Luxor hotel
At Luxor hotel

 

At Luxor hotel
At Luxor hotel

 

With my baby girl
With my baby girl

 

At Luxor hotel
At Luxor hotel

 

At Luxor hotel
At Luxor hotel

 

With my girl
With my girl

 

Mama Amika
Mama Amika

 

Very tired kids, it's been a long day. Off to bed
Very tired kids, it’s been a long day. Off to bed

2 thoughts on “Las Vegas, Nevada USA-Our around the world trip Nov-Dec 2013-Day 1”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *