Muak Lek Thailand, July 2011

Breakfast by the river

 

Hapa palikua ndio sehemu yetu ya mwisho ya holiday yetu ya wiki 3. Tulifikia Ndol Villas na kukaa hapa for 2 nights, tulichukua honeymoon suite for a treat kabla hatujarudi home. Kufika hapa tulitokea Khao Yai ambapo tulitumia njia ya barabara ilituchukua about 1hr from there to here. The hotel ilikua okey kwa upande wangu  ila kwa upande wa hubby na kids wenyewe wanasema ilikua nzuri sana. Kwangu mimi labda kwa sababu hotel tulizopita kwanza zilikua nzuri zaidi naomba nanyi mjionee labda mnaweza kuwa na opinion tofauti nami.

Kitu kilichonifurahisha zaidi ni kupata muda wa kutembelea Out Let shopping malls ambazo ziko karibu na eneo hili, niliweza kujishindia huko siku nzima na kujifanyia shopping, vitu hapa ni bei nzuri zaidi maana vingi vinatokea kabisa viwandani pia kuna maduka ya designer ambayo yanauza vitu ambavyo vina makosa kidogo ya kiwandani kwa bei poa, kwa hilo ilinifanya nami nipapende na kutaka kurudi tena next time lol!

3 thoughts on “Muak Lek Thailand, July 2011”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *