Our around the world trip Nov-Dec 2013-Funchal, Portugal

 

With my girl in Funchal, Madeira Islands
With my girl in Funchal, Portugal

Funchal city begins at the harbour and raises almost 1200 mt high on the gentle slopes. Funchal’s position provides a natural shelter and was what attracted the first settlers. The best harbour and the best climate combined with an excellent geographical.

I love this pic very much as you can see all of us in the taxi including taxi driver and view of the Funchal, Madeira
I love this photo hasa inavyoonyesha kwenye kioo cha gari kila kitu kinachoendelea hapo

Today is Friday, Nov 8th tuliwasili Funchal at 8.30am. Tukiwa tumekodi single personal tour ambaye tulimkuta nje pale tu tulipotoka nje ya meli then tukaanza tour yetu ambayo ni karibu siku nzima. Kwanza tulianza kwa kuendesha around the city na kupata view ya mji

With my girl in Funchal, Madeira Islands Portugal
With my girl in Funchal, Portugal

 

Binti Malaika in Funchal
Binti Malaika in Funchal

 

Binti Malaika in Funchal
Binti Malaika in Funchal

Hapa tulisimama kuangalia kiwanda kidogo ambapo tulipata nafasi ya kuona vitu mbali mbali ambavyo vinatengenezwa kwa kutumia mikono. Baada ya hapo tukapata cup of tea then tukaendelea na safari yetu

Mama Amika in Funchal
Mama Amika in Funchal

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Amani wangu
Amani wangu

 

With my baby girl
With my baby girl

 

With my girl, Malaika
With my girl, Malaika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *