Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Mid Atlantic ocean

 

Our cabin balcony
Our cabin balcony

Sunday, Nov 10th ni siku yetu ya pili kati ya siku tano ambapo tutakua majini kukatiza bahati ya Atlantic. Hapa tulipo kila kona ni bahari yaani tuko katikati kabisa ya Atlantic Ocean hakuna land yoyote iliyopo karibu. Wakati mwingine uoga ulikua unanijia kidogo na kukumbuka meli ya Titanic. Uoga ulikua unazidi ni pale meli inapotikisika kutokana na upepo mkali.

Ramani ikionyesha tulipo katikati ya Atlantic Ocean
Ramani ikionyesha tulipo katikati ya Atlantic Ocean

 

Kuanzia hapa tulianza kubalisha saa zetu, saa moja nyuma kila siku mpaka tutakapo wasili nchini Marekani.

View from our balcony mid Atlantic ocean
View from our balcony mid Atlantic ocean

 

Relaxing and reading my kindle
Relaxing and reading my kindle

 

On our cabin balcony
On our cabin balcony

 

Mama Amika
Mama Amika

 

Mama Africa
Mama Africa

 

Enjoying on our cabin balcony
Enjoying on our cabin balcony

NAUTICAL INFORMATION FROM CRUISE: Deriverd from Greek mythology, the name “Atlantic” means “sea of Atlas”. Second only to the Pacific Ocean in size, it covers approximately 20% of the earth’s surface, an area of around 82 362 000 km2s, equal to 8 times that of Europe. If we include her adjacent seas, that area increases to 106 450 000 km2.

DID YOU KNOW? The modern pizza was originally invented in Naples while ice cream was already considered as a treat in the Persian Empire, where people would put grape-juice concentrate over snow. And MSC Divina Pizza and Gelato have been awarded ‘Best Food at Sea’ by journalist Alan Wilson of Cruise News Daily. My kids Amani and Malaika walikula hizi pizza si mchezo na mama yao mimi nilikua kwenye Gelato ambapo kwa lugha inayojulikana Ice cream :)

2 thoughts on “Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Mid Atlantic ocean”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *