Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina welcome to Miami

Mama Amika in Miami
Mama Amika in Miami

Tuesday, Nov 19th. Tumewasili Miami, Florida USA saa tatu asubuhi. Kutokana na meli hii kufika kwa mara ya kwanza in USA tuliingia kwa staili ya aina yake huku paparazi wakichukua live kwenye local TV, kwa kweli ilipendeza sana. Baada ya 18nights crossing Atlantic Ocean atimaye tumewasili yaani sote tulikua very happy. Safari hii ilinikumbusha meli ya Titanic ila bahati mbaya wao waliishia njia hawakufika ni jambo la kumshukuru mungu tuliwasili salama. Leo hii meli itakaa hapa na kesho ndio tunatoka melini.

Paparazi in Miami
Paparazi toka local tv station in Miami

 

Miami, Florida
Miami, Florida

 

Miami, Florida
Miami, Florida

Kwa wale waliokua wanaendelea to Caribbean waliweza kutoka kwenda kuenjoy Miami ila sisi tuliamua kuenjoy ndani ya meli kwa mara ya mwisho mwisho, kesho ndio tutaondoka melini na kuingia mjini Miami. Mji huu unapendeza sana ikiwa ni mara yangu ya tatu kufika hapa lakini bado pananifurasha na sidhani kama nitachoka kurudi hapa tena na tena :)

mama yao Amika, kama kawaida msinilaumu mimi ni baba Amika ndio mpiga picha lol!

 

mama yao Amika
mama yao Amika

 

mama yao Amika
mama yao Amika

 

mama yao Amika
mama yao Amika

 

mama Amika
mama Amika

 

mama yao Amika
mama yao Amika

 

At Black and White lounge
At Black and White lounge

 

At Black and White lounge
At Black and White lounge

 

At Black and White lounge
At Black and White lounge

 

At Black and White lounge
At Black and White lounge

 

At Black and White lounge
At Black and White lounge

Our spectacular arrival into the port of Miami leads to ana afternoon activities with entertainment team, including an Ice-cream party and dancing. At night, Sangria Party with entertainment team and the Montecarlo 2night Band. We did enjoy the cosmopolitan atmosphere of Miami onboard the MSC Divina! Na kesho asubuhi itakuwa ni bye bye! For now… :)

From the sparkling watefront to the splendor of Miami Beach with it’s beautiful pastel colors, from her subtropical zones of the Everglades and her stunning beaches reaching out into the Atlantic Ocean, Miami is a veritable playground. The sun shines all year long and the cosmopolitan atmosphere makes Miami the highlight of holiday in United States. Must sees include the Everglades, a lush zone with a natural habitat for alligators and other wild animals. Without forget Miami Beach and the architectural beauty of Star Island.

2 thoughts on “Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina welcome to Miami”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *