Our around the world trip Nov-Dec, 2013-Oman to Venice, Italy

 

Muscat, Oman
Nilipiga picha hii siku ya tar 31 Oct ndio tulianza safari yetu ya kuzunguka dunia.

 

Safari yetu ilianza rasmi tar 31 Oct na ndege ya Qatar Airways kutoka Muscat kuelekea Doha, tulibadilisha ndege ya kuelekea Milan iliyotuchukua masaa 7 angani. Tulivyofika Milan tulichukua train ambayo ilituchukua masaa 3 kufika Venice. Safari yetu ya kuzunguka dunia itatuchukua wiki 7 na kilomita kama 55,000.

 

Masanduku ya mama

 

Amani

 

Malaika

 

Nikiwa na watoto wangu

 

At Muscat Int. Airport
Tukisubiri ndege tukiwa Muscat Int. Airport

 

At Muscat Int. Airport tukielekea kwenye ndege
Kumekucha safari ndio imeanza siamini tutakua hapa tena baada ya wiki saba, tutakuka tumemaliza kilomita karibu 55,000

 

Malaika at Doha Airport
Tumewasili Doha Int. Airport safari imechukua saa moja kutokea Muscat

 

Amani at Doha Airport
Doha Int. Airport

 

Malaika at Doha Int. Airport
Doha Int. Airport

Masaa sita baadae tuliwasili Milan Aiport baada ya kupitia maswala yote ya immigration tulichukua mizigo yetu na kuelekea Train station.

Arrived at Milan Airport Italy
Tumewasili Milan Int. Airport tukichukua mizigo yetu

 

Ndani ya train from Milan to Venice
Safari ya train ndio imeanza itatuchukua masaa matatu kutoka Milan kufika Venice

 

Ndani ya train from Milan to Venice

 

Ndani ya train
Malaika and Amani my totos ndani ya train

 

Ndani ya train
With my hubby ndani ya train to Venice from Milan

 

Ndani ya train
Malaika and Amani

 

Arrived in Venice, Italy
Ndio tumefika tu Venice, Italy. What a beauty

 

Mwanzo wetu wa safari umeanza vizuri tumewasili Venice, Italy salama kabisa. Kwangu mimi ni mara yangu ya pili kuja kwenye mji huu mara yangu ya kwanza ilikua 2002. Baada ya kuwasili train station tulitembea kwenda kwenye hotel yetu ambayo si mbali na station nadhani tulijifunza from 1st time tulipokuja hapa tuliangaika sana na masanduku yetu kutafuta hotel yetu lol! Story ni ndefu kwa kweli angalia post ya VENICE, ITALY 2002 kuna story yote :)

2 thoughts on “Our around the world trip Nov-Dec, 2013-Oman to Venice, Italy”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *