Our around the world trip Nov-Dec 2013-Venice, Italy by night

 

DSCN3596
Ndani ya Gondola with my family

 

Baada ya simple dinner tukaamua kuzungukia Venice kidogo na Gondola.  Mitaa inapendeza sana usiku hasa mkiwa mnakatiza Canals huku nyimbo za kiitaliano zikiimbwa inapendeza sana. Gondola mchana pia nayo inapendeza sana ila tofauti yake na usiku ni kwamba kumetulia sana. Ilifurahisha zaidi pale my kidos Amani na Malaika walipoamua kuungana na dereva kuanza kuimba kitaliano huku tukikatiza mitaa ya maji , It was wonderful! :)

 

DSCN3597
Ndani ya Gondola

 

P1050541
My watoto

 

DSCN3595
My watoto ndani ya Gondola

 

DSCN3602
With my hubby

 

P1050543
With my hubby ndani ya Gondola

 

DSCN3603
Ndani ya Gondola by night

 

20131101_173045
Amani kitaani Venice

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *