Our Dec 2011. Part 1

Wadi daiykha dam

 

I love winter in Oman, hali ya hewa ni nzuri sana around this time ukilinganisha na kipindi cha summer ambapo vumbi na joto linakua limetawala. Kipindi hiki ni kizuri kwa shughuli za nje kama vile BBQ, Camping or Picnic ambapo utakuta wakazi wengi wanapendelea kufanya pia wakati huu unapata view nzuri sana ya milima ambayo imezunguka sehemu nyingi ya nchi hii ambayo inapendeza sana.

Mimi na familia yangu tuliamua kwenda kutembelea Wadi Daiykha Dam in Quriayt. Ilikua ni nafasi nzuri kwetu kutembelea eneo hili ambalo hatujawahi fika pia kupata nafasi ya kumtembeza Barney bear ambaye alikuja kuspend weekend with us from Amani class hahahaaa…..alikuja kuspend weekend with us ikiwa ni moja ya shughuli za shule kila mwanafanzi kwenye class yao kabla muhula wa shule haujaisha lazima awe amempeleka sehemu mbali mbali na kupiga nae.  Trip ilikua nzuri ilituchukua siku nzima na sote kwa ujumla tulifurahi sana. Enjoy more pics below and cheers!!!

2 thoughts on “Our Dec 2011. Part 1”

  1. Love the blue look. You are blessed with very beautiful kids dada Zawadi-I love them.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *