Our last day at Alila Resort, Oman-Family weekend getaway July 2014

mama Amika
mama Amika

Weekend yetu inaisha leo tutaanza safari ya kuelekea tena Muscat. Kwa kweli tumepafurahia sana, hali ya hewa huku juu ni nzuri hasa kipindi hiki cha summer ambapo Muscat ni zaidi ya 42 wakati hapa ni 23 na usiku inashuka zaidi. Kipindi cha winter hapa huwa wanapata mpaka snow, ukiwa hapa unaweza sahau kuwa huko Oman maana kuko tofauti kabisa. Wakati tukakuja huku tulikua tunapanda milima up up up leo tutakua tunaenda down down down lol! Our weekend was awesome sote tuko very happy. Life is good :)

2 thoughts on “Our last day at Alila Resort, Oman-Family weekend getaway July 2014”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *