Our around the world trip in seven weeks Nov-Dec 2013

Hii ni moja ya safari ambayo tumekua tunaisubiri kwa hamu sana. Ni mara yetu ya kwanza kuwa na holiday ndefu kiasi hiki ambayo itatuchukua wiki 7. Safari yetu inaanzia Muscat Oman na tunaendelea kwenda west until tutakaporudi tena Muscat. Mpaka tunamaliza safari yetu hii tutakua tumemaliza karibu kilomita 55,000. Wow! This is my dream na sasa inaenda kua kweli, tuko very happy and so excited!

Ramani ya safari yetu
Ramani ikionyesha safari yetu

Safari yetu itatupeleka Venice Italy, ambapo tutachukua meli (Cruise Ship) ambayo itatuwezesha kukatiza Atlantic Ocean to America. Meli itachukua siku 18 huku tukipitia nchi ya Malta, Spain, Portugal, Sint Maartin, US Virgin Islands, Puerto Ricco na USA.Tutashukia Miami na kukaa siku moja then tutaelekea Orlando, Buffalo, Niagara Falls, Las Vegas, San Flancisco in USA. Baada ya hapo tunaelekea Rarotonga, Aitutaki in Cook Islands hii itakakuwa ni half way point ya safari yetu.  Harafu tunaelekea Sydney, Ayer’s Rock, Gold Coast, Adelaide in Australia. Baada ya Australia tunaelekea Singapore ambapo hapa itakuwa ndio nchi yetu ya mwisho kabla ya kurudi home.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *