Our Xmas Eve 2011

The night before Xmas

 

Siku ya Xmas Eve kama kawaida baba mwenye nyumba aliwasomea watoto kitabu The Night Before Xmas ambapo huwa anafanya hivyo kila tarehe 24th Dec usiku, amekua anafanya hivyo tangu Christmas yao ya kwanza and they love it. Kitu kingine ambacho kinafurahisha zaidi ni asubuhi yake pale wanapoamka na kukutana na big surprise chini ya Xmas tree all the way from North Pole hahahaa…it’s good to be a kid and believe about santa. Kwa ujumla mimi na familia yangu tunapenda sana this holiday ambapo tunapata chance ya kusheherekea na kufanya mambo mengi kwa pamoja ambapo inaleta maana kubwa kwetu. For sure we looooveeeeee this holiday, cheers!!!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *