Our Xmas Tree Day 2011

My beautiful girl

 

Kama kawaida ni utamaduni wetu kuweka mti wa Christmas kila 1st Dec.  Mwaka huu ilikua much fun kwa sababu Amani na Malaika wamekua na wameweza kufurahia zaidi shughuli nzima ya upambaji wa mti, bila kusahau msaada mkubwa walionyesha this year katika harakati zote za upambaji with big smile in their faces, kama mzazi was lovely to see that. Mum & Dad are very proud of them, well done Amani na Malaika. Inafurahisha sana kuona sura za watoto hasa kipindi hiki cha holidays, baada tu ya kuweka mti wa Xmas walianza kuhesabu how many sleeps left before Xmas, It’s so sweet kwa kweli. Thanks Amani & Malaika kwa beautiful Xmas tree this year. Merry Xmas to you all wasomaji and cheers!!!!!!!!! For more pics check below…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *