Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-At sea

After dinner on MSC Divina
On MSC Divina

Monday, Nov 11th. Leo ni siku yetu ya tatu tukiwa majini ambapo tunaendelea kukatiza Atlantic Ocean. Kama kawaida siku ambapo meli iko baharini ni siku ya kurelax na kuenjoy facilities zilizipo melini.  Kwa upande wetu siku kama ya leo watoto huwa wanashinda kids club then baba na mama wenyewe wanaenjoy kwa namna yao :)

At Black Crab restaurant
At Black Crab restaurant

 

With my girl
With my girl
Mama Amika
Mama Amika

 

With my kids Amani and Malaika
With my kids Amani and Malaika

 

With my girl
With my girl

 

With my girl
With my girl

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

With my girl Malaika
With my girl Malaika

 

Mama Amika
Mama Amika

 

With my girl
With my girl

 

Mama Amika
Mama Amika

 

At Golden Bar
At Golden Bar

DID YOU KNOW? A WHOLE WORLD ON BOARD. Love that international vibe? The MSC experience attracted guests from 186 different nationalities included me, Tanzanian :) you can experience cultures from all round the world.

NAUTICAL INFORMATION FROM CRUISE TODAY: Our navigation continues in the Atlantic Ocean whose basin forms an “S” in a North-South placement. It is separated into two main sections, the North Atlantic and the South Atlantic which occurs between the equator and 8 of latitude north. The Atlantic is boardered to the West by the North and South American Continents and to the East by Europe and Africa. It has two adjacent seas, namely the Mediterranean and the Black Sea, which also touch Asia. It is connected to the Pacific Ocean through the Arctic Glacial Sea in the North, Drake’s Channel (in the Earth of the Fire) and Cape Horn in the South. There is also the man-made connection through the Panama Canal. Suggested THEMED dress tonight: in green, white, red.

Our around the world trip Nov-Dec 2013-Crossing Atlantic Ocean-Day at Sea-Day 1

 

With my kids on MSC Divina cruise ship
With my kids on MSC Divina cruise ship

Saturday, Nov 9th- Leo ilikua ni siku ya kurelax na kuenjoy activities and entertainment zilizopo maana meli itakua majini. And good news ni Gala night, napenda siku hii maana ni siku ya kuu lamba. Watu wote mnatakiwa kuvaa vizuri, nadhani kwa upande wetu hapa tumejitahidi lol! :)

With my kids at MSC Divina Lobby
With my kids at MSC Divina Lobby

 

With my girl
With my girl

 

Binti Malaika at MSC Divina lobby
Binti Malaika at MSC Divina lobby

 

Amani and Malaika
Amani and Malaika

 

Malaika and Amani
Malaika and Amani

 

Amani and Malaika
Amani and Malaika

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

My Amani
My Amani

 

At Pantheon Theatre
At Pantheon Theatre, Show ya leo ni THE WITCHES OF PARIS

 

In the lift, back to our cabin
In the lift, back to our cabin

 

Our butler did a good job taking care of our cabin, he likes to make animals with towels
Our butler did a good job taking care of our cabin, he likes to make animals with towels

 

NAUTICAL INFORMATION FROM CRUISE: Today we continue our navigation across the Atlantic Ocean, named after Atlas, one of the titans in Greek mythology, with a South- Southwesterly route. Pushed by a predominantly favorable wind and by the North-equatorial tide, we will have time to experience the serene atmosphere of this large oceanic basin, second only in size to the Pacific Ocean. Suggested dress tonight: GALA

DID YOU KNOW? MSC have a long and grand history of sailing. Having explored the seas for over 300 years, they’re now the world’s second largest shipping company, with almost 450 vessels sailing to all corners of the globe.

Our around the world trip Nov-Dec 2013-Madeira Islands, Portugal-Part III

 

Madeira Islands
At Valley of the Nuns with my kids

Madeira Island ilikua ni stopover ya cruise yetu ambayo tuliifurahia kuliko nyingine zote. Ni sehemu nzuri sana na ina mambo mengi ya kuangalia na kutembelea kama picha zinavyoonyesha.

Valley of the Nuns, Madeira Island
Valley of the Nuns, Madeira Island

 

Valley of the Nuns, Madeira Islands
Valley of the Nuns, Madeira Islands

 

Valley of the Nuns, Madeira Islands
Valley of the Nuns, Madeira Islands

 

Madeira Islands
Madeira Islands

 

Valley of the Nuns, Madeira Islands
Valley of the Nuns, Madeira Islands

 

At Valley of the Nuns
At Valley of the Nuns

 

At Madeira Islands, Portugal
At Madeira Islands, Portugal

 

We had lunch Estepada BBQ at local restaurant
We had lunch Estepada BBQ at local restaurant

 

At Cabo Girao
At Cabo Girao

 

 At Camara De Lobos with my family
At Camara De Lobos with my family

 

At Monte village
At Monte village

 

At Monte village
At Monte village

 

At Monte village
At Monte village

 

We had much fun “tobogganing” Madeira style. You sit on a wicker bench and 2 men push and steer you down the hill. It was much fun :)

DSCN3895
Tabogin drivers at Madeira Islands

 

Madeira Toboggan ride
Madeira Toboggan ride

 

Fun with my family
Having fun with my family

 

I won't mind to live here, It's beautiful place- Madeira Islands Portugal
I won’t mind to live here, It’s beautiful place- Madeira Islands Portugal

 

NAUTICAL INFORMATION FROM THE SHIP: At approximately 7:00am we will find ourselves in the bay of Funchal, visible from the bow of the ship, where we will embark the pilot and begin mooring in the touristic port of Funchal. After our departure, leaving the Island of Madeira behind us, we will assume a South-South Westerly route in the Atlantic Ocean towards the Caribbean Sea. Today suggested dress tonight: INFORMAL

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day at sea

 

Mama Amika
Mama Amika

Thursday Nov. 7th: Day at sea ni siku ambayo meli inakua majini bila kutia nanga. Ni siku ya kurelax na kuenjoy na kufurahia activities na entertainment zilizopo melini kuanzia Swimming pools, Spa, Shops, 4D Cinema, Bars and etc.

At Sport Bar
At Sport Bar

 

 At the lobby
At the lobby

 

At the lobby
At the lobby

 

Mama Amika
Mama Amika

 

Mama Amika
Mama Amika

 

With hubby at Aqua Park bar on MSC Divina
With hubby at Aqua Park bar on MSC Divina

 

At Garden Bar
At Garden Bar

 

DSCN4169Chakula melini ni bure ila kuna restaurant moja ambayo unalipia. Pia kuna coffee shop kama hii hapa chini ila ni bei rahisi sana kama unavyoona.

DSCN4182Baada ya kupeleka watoto kids club tukawa na muda wa kurelax at the pool. Garden pool iko kwenye deck 15 nyuma kabisa ya meli ambayo ni kwa ajili ya watu wazima tu, watoto hawaruhusiwi.

At Garden pool
At Garden pool

 

Mama Amika
Somewhere on the Atlantic Ocean

 

Mama Amika
Mama Amika

 

Mpiga picha baba Amika
Mpiga picha baba Amika, kama kawaida alaumiwe yeye si mimi lol!

 

Happy mama
Happy mama

 

Somewhere on the Atlantic Ocean
Somewhere on the Atlantic Ocean

 

Garden pool
At Garden pool

NAUTICAL INFORMATION TODAY: Our navigation will continue throughout the day in the open sea over the depths of the Atlantic Ocean (maximum depth equal to 14,107 feet/4300 meters) with a constant West-South Westerly route in the direction of the archipelago of Madeira. Suggested dress tonight: INFORMAL

DID YOU KNOW? MSC Divina weighs about 137,000 tones, has more than 1,600 staterooms and can host well over 3,200 guests. Each ship is part of a strong fleet of award-winning ships which also happens to be one of the youngest fleets on the seas. With its elegant decor, vaulted ceilings and spacious staterooms.

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day at sea

 

With my kids in Jacuzzi
With my kids in Jacuzzi

Tuesday, Nov 5th: Siku ambapo meli iko baharini ni muda mzuri wa kuenjoy activities na many entertainment zilizopo melini kuanzia swimming pools, Spa, 4D Cinema, shops and bars. Mi na wanangu leo tulijichagulia swimming pool. Kuna pools kama tatu, mbili za nje na moja ya ndani. Hali ya hewa ikiwa nzuri za nje zinapendeza sana ila hali ya hewa ikiwa na upepo mwingi au baridi basi chaguzi ni pool ya ndani. Siku ya leo kulikua na kiubaridi so tukajiamulia kuenjoy pool ya ndani ambapo kuna jacuzzi kama tatu hivi, wacha tuenjoy wenyewe :)

 

With my baby girl
With my baby girl

 

Happy mama Amika
Happy mama Amika

 

My kids having fun
My kids having fun

 

With my kidos
With my kidos

 

The boy himself, Mr. Amani
The boy himself, Mr. Amani

 

Dada mtu naye binti Malaika
Dada mtu naye binti Malaika

 

Mama yao
Mama yao

 

Fun at the pool
Fun at the pool

 

With my kidos at inside pool
Having fun at the pool with my kids

 

Relaxing in the jacuzzi
Relaxing in the jacuzzi

 

Was a lovely day
Msinilaumu mimi, mlaumini mpiga picha baba Amika lol!

Leo pia kulikua na show ya CLAUDIO DE NEGRI ONE MAN SHOW ndani ya PANTHEON THEATRE ambapo tulienda kutizama kabla ya dinner. What a life :)

NAUTICAL INFORMATION: Today we continue our navigation West in the direction of our next port. For the entire day we will cruise along the Northern coasts of Tunisia, followed by Algeria, both visible to the left side of the ship, at an approximate distance of 10 nautical miles. Suggested dress tonight: INFORMAL

Our around the world trip Nov-Dec 2013-1st gala dinner night on MSC Divina cruise ship

 

Siku ya leo captain alikua anatoa nafasi ya kujitambulisha kwa wageni na kupiga nao picha. Tukiwa na captain wa MSC Divina
With Captain Francesco Veniero, leo alikua akijitambulisha kwa wageni na kupiga nao picha.

Today is 3rd Nov na tutakua at sea. Ni relaxing day usiku ni formal night ambapo kutakua Gala Cocktails na watu wote wanatakiwa kuuramba haswa wanaume suti na tai, wanawake kuvaa gown zao maridani bila kusahau watoto pia. It’s lovely :)

Family photo on MSC Divina cruise ship
Family photo on MSC Divina cruise ship

 

Amani and Malaika dressed up for gala night
Amani and Malaika dressed up for gala night

Siku ya kwanza lazima huwa wanauliza ungependa kula dinner saa ngapi maana kuna 2 dinner seating ya 6 oclock na 8 oclock. Si tulichagua 1st dinner seating ambayo ni 6 oclock. Meza unayopewa ndio mnatakiwa kukaa kila siku at the same time mpaka mtakapo ondoka melini ila ni usiku tu. Kama utaki kwenda restaurant ya seating unaweza kwenda kwenye Buffet Calument ambapo hapa unapata chakula muda wote wanakuwa wazi masaa 20 kwa siku.

At our dinner table itakua yetu for the next 18days at 6pm
At our dinner table itakua yetu for the next 18days at 6pm

 

Malaika at Black Crab restaurant
Malaika at Black Crab restaurant

 

Amani at Black Crab restaurant
Amani at Black Crab restaurant

 

At MSC Divina lobby
At MSC Divina lobby

Baada ya dinner tulielekea kwenye Pantheon Theatre ambapo leo kulionyeshwa show ya WONDERLAND a wonderful world of imagination. It was wonderful!  :)

NAUTICAL INFORMATION: At approximately 7:00am, following our navigation towards the southern coast of Italy, we will near the city of Vieste, which will be visible on the right side at a distance of more or less 10 nautical miles. From here you will be able to admire the hills of Gargano, located adjacent to the city of Gargano. Around 12:30pm, we will pass in front of the city of Brindisi, visible on the right side of the ship, at a distance of more or less 7 nautical miles. Afterwards, at around 4:00pm, we will leave the Adriatic Sea and enter the Ionian Sea through Otranto’s strait, following a route with a South-Western heading to the Island of Malta. Suggested dress tonight: GALA

DID YOU KNOW?

FROM VENICE TO MIAMI WITH LOVE: MSC Divina is the first Fantasia class ship to sail to North America and the first MSC cruise ship to offer year-round Caribbean sailings.

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina cruise ship-Day 1

 

Melini
Hapa nilipo ni Aqua Park katikati ya meli juu ambapo inatumika sana kwa outdoors entertainment

Siku zima ya kwanza meli ilikua baharini. Baada ya kuwapeleka watoto kwenye kids club baba na mama Amika tukawa huru pia kupata nafasi ya kuzungukia meli kujua hiki na kile kiko wapi. Kwa kweli meli ni kuwa na nzuri sana kama inavyoonekana kwenye picha.

On MSC Divina cruise ship
On MSC Divina cruise ship

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

At Aqua Park, melini
At Aqua Park, melini

 

Meli ikiwa Atlantic ocean
Meli ikiwa Atlantic ocean

 

Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15
Huu ni upande wa nyuma kabisa wa meli kwenye deck 15

 

At Golden Bar ndani ya meli
At Golden Bar ndani ya meli

 

At Golden Bar
At Golden Bar

 

At Black Crab restaurant
At Black Crab restaurant

 

Dinner time
Dinner time at Black Crab restaurant

 

My starter
My starter

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Mr. Amani
Mr. Amani

 

Holidaying is hard work
Holidaying is hard work

 

Theater ndani ya meli
Pantheon Theatre

 

Baada ya kuzunguka hapa na pale melini bila kusahau mama Amika kupiga picha :) ulifika muda wa kwenda chukua watoto kids club. Uzuri mwingine mkubwa wa hii meli ni wana program nzuri sana za watoto, wana watu maalum ambao wamesomea kuangalia watoto. Program zao zinaanzia watoto wadogo kabisa kuendelea mpaka teenagers. Meli ikiwa majini watoto tunawapeleka saa tatu mpaka saa saba mchana then kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na moja au mpaka saa tano usiku hapo katikati unaweza wachukua kwa ajili ya chakula cha jioni ila siku nyingine huwa wana program ya kula chakula kwa pamoja na watoto wenzao. Kwa namna hii inawapa wazazi nafasi nzuri ya kufurahia maisha ya kwenye meli, nikiwa mmojawapo lol! :)

Our around the world trip Nov-Dec 2013-MSC Divina Cruise Ship-Venice, Italy

 

Port Venice tukisubiri kuingia melini
Port Venice tukisubiri kuingia melini

Tulianza safari yetu na meli ya MSC Divina 2nd Nov tukitokea Venice kuelekea Miami Florida. Safari yetu itatuchukua 18 nights tukikatiza Atlantic ocean, tutapata nafasi ya kutembelea nchi kadhaa zikiwemo Malta, Malaga Spain, Madeira Islands Portugal, St. Maarten and San Juan, Puerto Rico

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Kabla ya kuingia ndani ya meli lazima kupiga picha ya welcome aboard
Kabla ya kuingia ndani ya meli lazima kupiga picha ya welcome aboard

Welcome aboard! MSC Divina Christened in 2012 by Sofia Loren, the ship is 333,30 metres long and 37,92 metres wide. MSC Divina combines timeless elegance with cutting-edge technology, offering a wide range of recreation facilities and services for your enjoyment. Her 1350 crewmembers are all here to ensure your personal comfort and safety and to help make your cruise unforgettable. Have a wonderful vacation! by Captain, Francesco Veniero

Amani akalilia picha ya peke yake na akaipata lol!
Amani akalilia picha ya peke yake na akaipata lol!

 

Tukiwa tayari kwenye meli
Tukiwa tayari kwenye meli

 

Tukiwa tayari kwenye meli
Tukiwa tayari kwenye meli

 

Ndani ya meli ya MSC Divina
Ndani ya meli ya MSC Divina

 

Our cabin
Our cabin

 

Our home for another 18 nights
Our home for another 18 nights

 

Binti Malaika akijaribisha sofa bed
Binti Malaika akijaribisha sofa bed

 

Meli ikianza kuondoka Venice
Meli ikianza kuondoka Venice

 

Nautical Information: When we leave the maritime station we will start sailing along the fascinationg Venetian lagoon, going back the Gludecca Channel and following St. Mark’s Channel, along which we will be able to admire on our right the renowned St. George’s Church. St. Mark’s Square is the only official square in Venice since all the public square-shaped paces are called “campi” (fields). After passing the Channel, we will get out of the lagoon through Porto di Lido, where the pilot will disembark and we will take a South-West route in the Adriatic sea heading to our next port of call. Suggestion dress tonight: CASUAL

Our around the world trip Nov-Dec, 2013-Venice, Italy-Day 1

 

With my baby girl
Nikiwa na binti yangu Malaika nje ya hoteli tuliyofikia, tayari kwa kuingia mtaani

 

Tuliwasili Venice Italy salama kwenye mji uliyojengwa juu ya maji kama unavyoitwa na watu wengi. Baada ya kucheck in kwa hotel tukaingia mitaani nasi kujumuika na watalii wenzetu kushangaa lol! Tulikua na bahati siku hii hali ya hewa ilikua nzuri jua lilikua linawaka vizuri na kufanya watalii kuwa wengi sana mitaani. Sasa sio kupigana vikumbo uko utafikiri tulikua sokoni lakini kwa jinsi mji ulivyo mzuri kila mtu alikua anaonekana na furaha. Venice ni moja kati miji mashuhuri duniani wenye historia kubwa.

 

DSCN3574
Nikiwa na familia yangu

 

DSCN3576
Venice, Italy

 

20131101_144639_5_bestshot
Venice, Italy

 

20131101_141249_3_bestshot
Pizza za hapa ni kiboko

 

P1050523
Pizza time with my family

 

DSCN3589
Mjini Venice, Italy with my kids Amani and Malaika

 

DSCN3593
Mama Amika mwenyewe ndani ya Venice, Italy

 

Mara yangu ya kwanza kuja kwenye mji huu ilikua ni 2002 wacha mtanzania mimi nishangae maana kila kitu nikiangalia kwangu kilikua ni kigeni lol! Unaweza angalia kwenye post ya VENICE, ITALY 2002 kwenye post za nyuma. Nakumbuka vizuri jinsi nilivyoupenda mji huu nikasema lazima nirudi tena, furaha iliyoje nimeweza rudi tena ingawa imechukua miaka kumi lol! Ningependa kurudi tena ila safari hii nataka iwe summer maana vipindi vyote hivi viwili tumekuja wakati wa winter, inasemekana summer kunapendeza zaidi ila kwa wale wasiopenda kubanana summer si nzuri kwao inasemekana watalii wanakua wengi sana kulinganisha na kipindi cha winter. Tutakuwepo hapa kwa siku mbili then tunachukua cruise ship kutokea hapa Venice to Miami Florida, yaani tunasubiri kwa hamu kweli kukatiza Atlantic ocean to America kama Titanic vile  :)

One Week In Dar es Salaam, Tanzania. July 2013, Part II

 

@ Karambezi Sea Cliff hotel
@ Karambezi Sea Cliff hotel

 

Nilifurahi sana kukutana na marafiki zangu wapya Jessie & Irene ambao tumekua tunawasiliana muda mrefu atimae tulipata nafasi ya kukutana uso kwa uso nilifurahije sasa, asante sana lovely ladies. Pia nafurahi kupata muda angalau kukaa na wadogo zangu Celine, Tina, Scolar, Flora. Asanteni kwa muda wenu mlionipa pamoja na vicheko tulivyocheka…hahahaaa…mnakumbuka dada wa reverse pale kivukoni? lol! yaani hapa nacheka kweli bongo darisalama panapendenza lol. Uncle Festo asante sana kwa kuja kukutana nami yaani nilifurahije sasa uncle wangu, asante kwa kila kitu :)

Siku saba si nyingi kwa kweli kwa bongo yaani nilitamani niendelee kukaa zaidi kweli nyumbani ni nyumbani huwa siichoki Dar es Salaam yetu. Celine Victor mdogo wangu karibu sana maisafari <3  :)

Safiri na Zawadi