At Serena Hotel Dar, March 2012

3rd March 2012

Nilikua na VIP tickets 5 na kuamua kuwapeleka wadogo zangu pamoja na dada yangu Khadija siku ya Women’s day pale Serena ambapo walifurahi sana. Ilifurahisha kuwaona Tina na Flora nyuso zao zilivyokua na furaha siku hiyo eti wenyewe wanasema wameenda kuuza sura na kweli waliuza sura siku hiyo lol! Na kwa upande wangu pia nilifurahi kuona sura tofuati za¬† wadada wa mjini ambao walikua wamependeza kweli. Bongo kweli kuzuri :)))))))

2 thoughts on “At Serena Hotel Dar, March 2012”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *