Summer Holiday 2014-Day 09-Koh Nangyuan resort, Thailand

 

DSCN8352

Baada ya kuwasili paradise na kupumzika kidogo tukaanza kujiachia :) what a beauty? Uzuri wake ulizidi pale giza lilipoanza kuingia na ilipofika usiku ndio mambo yakazidi kuwa mazuri zaidi tulichokua tunasikia ni sauti ya maji tu, panapendeza sana.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *