Summer Holiday 2014-Day 1-Bangkok, Thailand

Vacation yetu tulianzia Bangkok ambapo tulifikia kwenye hotel ya Labua State Tower. Tulifikia kwenye room ambayo iko kwenye nafasi kubwa ambapo ilikua na compliment ya kupata kila siku Afternoon Tea bure kwenye mida ya kuanzia saa tisa jioni. Hakuna kitu nachopenda kama High tea (afternoon tea) kwa hiyo kwa upande wa mama hapa palikua ni mahala pangu :-) Tuliingia Bangkok kwenye mida ya mchana ambapo baada ya kufika hotelini tulipata nafasi ya kupumzika. Baadae tulielekea kwenye private club ambapo ndio waliakua wanatoa huduma ya afternoon tea. View ya huku juu ni hatari sana unaweza kukubaliana nami ukiangalia picha panapendeza sana.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *