Summer Holiday 2014-Day 10-Koh Nangyuan Island resort, Thailand

 

DSCN8372

Uzuri wa kufikia kisiwani ni kupata muda mwingi wa kuenjoy Island hasa kipindi cha asubuhi na jioni maana tourist wanaruhusiwa kuingia kuanzia saa nne asubuhi na kuondoka saa kumi jioni. Kama picha zinavyoonyesha hapa ilikua ni asubuhi baada ya breakfast beach nyeupe haina hata watu na kuweza kupiga picha nzuri sana kama zinavyoonekana. Pia jioni watoto walipata nafasi ya kuswim na Sardines ambao ni wengi sana hasa mida ya jioni :)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *