Summer Holiday 2014-Day 11-Koh Nangyuan Island resort, Thailand

 

DSCN8608

Leo ilikua ni siku yetu ya mwisho hapa paradise. Jioni watoto wakaamua kunipeleka nami kilimani ili nikashangae view, ngazi zinachosha ila baada ya kufika juu, what a view picha zinajieleza zenyewe. OMG Wow! Beautiful :)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *