Summer Holiday 2014-Day 12-Koh Nangyuan To Koh Samui, Thailand

 

 

Lunch time on Koh Samui
Lunch at local restaurant in Koh Samui

 

Tulisafiri kwa njia ya boat kutokea Koh Nangyuan to Koh Samui. Usafiri mkuu upande huu ni boat eneo hili lina watalii wengi sana, wengi wao wakiwa ni vijana. Kipindi tulichokua huku ulikua wakati wa fullĀ  moon na karibu kila sehemu kulikua ni party tu. Nadhani ndio sababu watalii vijana wanapapenda sana Koh Samui. Too bad sisi tulikaa siku moja lakini tuna mpaka wa kurudi tena ili tupate nafasi ya kuzungukia eneo hili

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *