Summer Holiday 2014-Day 2-Bangkok, Thailand

DSCN7813 Siku yetu ya pili bado tulikua Labua state house hotel Bangkok. Baada ya kuamka na kupata breakfast ambayo kwa hoteli hii ni kiboko maana wana kila aina ya breakfast ni chaguo lako tu. Tulitumia siku yetu ya leo kwenye capital shopping mall kukutana na marafiki zetu ambao nao walikua Thailand kwa ajili ya holiday. Baada ya kurudi tulipata afternoon tea ambapo kwa room ambayo tulichukua tulikua tunaruhusiwa kupata afternoon tea bure ambayo iko kwenye private club.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *