Summer Holiday 2014-Day 5-Krabi, Thailand

Kwa wale wanaopenda sea food hapa ni mahali pake karibu kila hotel wanakua na menu nzuri ya fish BBQ mara nyingi iko mida ya jioni, utakuta wamepanga seti nzima nje ambapo wewe unachofanya ni kuchagua unachotaka harafu unachomewa ikiwa fresh kabisa. BBQ inakuja na sweet corn au pototoes pia inakua na veg. Chaguo langu mimi hapa ni Green Papaya salad with BBQ chicken pamoja na sticky rice, ila menu hii inakuaga mchana kwa ajili ya lunch ni nzuri sana :-) Juu kwenye picha inaonyesha dada akitengeneza hiyo green papaya salad.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *