Summer Holiday 2014-Day 7-Thipwimarn resort, Koh Tao Thailand

DSCN8186

Wow! Ndio tulichokisema tulipofika hapa kwenye hii resort. Ingawa tulikua tumechoka maana ilituchukua zaidi ya masaa saba au nane kufika hapa tukitokea Krabi. Tulitumia njia ya barabara na boat mpaka kufika hapa ambapo kwanza tulianza na tourist bus kutokea Krabi ambayo ilituchukua zaidi ya masaa matatu then tukaingia kwenye boat ambayo nayo ilituchukua zaidi ya masaa matatu. Lakini uchovu wote ulipotea pale tu tulipokajaga kwenye hii resort maana ni nzuri sana ni mchanganyiko wa kila kitu and the view is to die for, breathtaking! :-) Tulikaa hapa for two nights.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *