Summer Holiday 2014-Day 8-Thipwimarn resort, Koh Tao Thailand

 

DSCN8239

The resort is wow! Room tuliyokaa ilikua na private pool sasa kina Amani na Malaika wenyewe walifanya kushinda kwenye maji. Kwa jinsi tunavyopenda adventure room tuliyochagua ilikua pia na choo cha nje ambacho ndicho kina kila kitu mpaka bath. Sasa ungeiona sura ya baba Amika ni furaha tupu maana mzungu huyu anapenda sana bafu la nje lol! Siku yetu ya leo tuliitumia kurelax tu na kuenjoy the resort :-)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *