Summer Holiday 2014-Day 9-Thipwimarn resort to Koh Nangyuan resort Island, Thailand

 

Koh Nangyuan

Siku ya tatu tuliondoka Thipwimarn resort na kuelekea paradise. Yap nasema paradise maana ni resort ambayo iko pekee kwenye visiwa vitatu. Ni muungano wa visiwa vitatu ambapo mchana maji yakiwa yamesogea yanaachia beach na usikuĀ  visiwa vinatenganishwa na maji.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *