Snorkeling In Cayman Islands

Moi

 

What an adventure, tulifika hapa tukiwa kwenye our 7days Caribbean Cruise, summer 2004. Sehemu hii ambayo ina kina kifupi cha maji ambapo unaweza simama na hata kutembea, cha kushangaza zaidi ni kwamba sehemu yote iliyozunguka eneo hili ni kina kirefu sana tena sana. Ni pazuri sana kwa kweli mchanga mweupe chini umefanya eneo hili kupendeza zaidi, tulikuta watalii wengi sana wote wakiwa na nia moja to enjoy the beauty of the place and swimming with Stingrays fish.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *