Safari hii tulikaa Banyan Tree Hotel Bangkok baada ya kucheck in tulielekea kwenye room yetu OMG room yetu ilikua wow! Tulichukua Club Suite ambayo ilikua ni breath taking. Baada ya kupumzika kidogo nilimuachia hubby watoto and mum alielekea shopping maana Bangkok na shopping ndio kwenyewe. Usiku hubby treated me a dinner at the roof top restaurant ambayo ilikua amazing and the food was delicous bila kusahau the view is to die for. Kids tuliwaacha na babysitter ambapo Hubby alikua amesha arrange, haya ndio mambo ya Thailand bwana :))))))
Safiri na Zawadi
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.Ok