Tag Archives: Golden Gate Bridge

The Golden Gate Bridge, San Francisco-Our around the world trip Nov-Dec 2013

So excited! About to ride cross the Golden Gate
So excited! About to ride cross the Golden Gate

The Golden Gate Bridge is one of our favourite place katika hii safari yetu nzima ya kuzunguka dunia. Tulipata nafasi ya kukatiza daraja hili mashuhuri ambalo utalikuta kwenye movie nyingi sana au matangazo duniani. Tulikatiza daraja hili kwa njia ya baiskeli ambapo ni njia nzuri ya kuweza kuenjoy hii bridge. Tuliweza kupata nafasi ya kusimama pale tunapopenda kupiga picha bila kusahau kuenjoy the spectacular view :) My son Amani alitushangaza sana maana tulikua na wasiwasi kama angaweza kuendesha baiskeli kilomita zote 16 huku tukikatiza kwenye barabara ambazo zilikua na magari mengi and very busy but he did it!

About to ride cross the Golden Gate
About to ride cross the Golden Gate

Kuna maduka mengi ambayo yanakodisha hizi baiskeli ambapo unachukua kwa masaa au siku nzima, sisi tulichukua kuanzia asubuhi na tulitakiwa kurudisha kabla ya saa kumi na mbili jioni. Usafiri wa aina hii ni mzuri sana ukiwa San Francisco inakusaidia kupata nafasi nzuri ya kuenjoy na kuexperience mji huu wa aina yake kwa upana zaidi.

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Golden Gate bridge
Golden Gate bridge view

 

Mama Amika
Mama Amika

 

Peace
Peace

 

Malaika was so happy to ride on this tag along
Malaika was so happy to ride on this tag along

 

We're about to start crossing the Golden Gate
We’re about to start crossing the Golden Gate

 

On Golden Gate Bridge
On Golden Gate Bridge

 

Mid bridge break
Mid bridge break

 

mama Amika on Golden Gate bridge
mama Amika on Golden Gate bridge

 

mama Amika on Golden Gate Bridge
mama Amika on Golden Gate Bridge

Tulivyofika katikati ya bridge tulisimama na kuenjoy the view ambayo ilikua ni breathtaking! Hii ni kati ya zile experience ambazo mtu uwezi kusahau kabisa :)

The Golden Gate bridge
The Golden Gate bridge

 

Amani on Golden Gate Bridge
Amani on Golden Gate Bridge

 

Finally
Finally

Finally, tuliweza kukatiza bridge na hatukuamini kama kweli tuliweza fanya hivyo maana haikuwa kazi rahisi kuna sehemu ilibidi tuwe tunashuka na kusukuma baiskeli zetu kutokana na kuwa na muinuko mkubwa.

We did it!
We did it!

Baada ya kufanikiwa kuvuka tulielekea kwenye mji wa Sausolito kwa ajili ya lunch na hapa ndipo tulipochukua ferry ambayo iliturudisha tena San Francisco.  Watalii wengi wanaamua kurudi kwa njia hii ila kuna wengine wanarudi kwa njia ya baiskeli walizokuja nazo.

Lunch time in Sausolito town, California
Lunch time in Sausolito town, California

 

Malaika na babake
Malaika na babake

 

In Sausolito town, California
In Sausolito town, California

 

The view of San Francisco from Sausolito town
The view of San Francisco from Sausolito town

 

On the ferry to San Francisco
On the ferry to San Francisco

What an experience we had. I loved it and I’m happy I did it! :)