Tag Archives: Holiday

Adelaide, Australia-Our family around the world trip Nov-Dec 2013

Early family Xmas
Early family Xmas

We stop just for couple of days to catch up with my husband’s family, Adelaide is his home town. We stayed at The Shores holiday park and the kids had lots of fun, riding go-karts and playing around.

 

@Hard Rock Hotel Pattaya, Thailand 2010

The Beatles, you can find them every corridor

 

Tulivyofika tu kwenye mji huu tulianza ona shamrashamra huku watalii wakiwa wamezagaa kila kona. Tulifikia  Hard Rock Hotel and the beauty of here means fun for everyone, a lot of intertainments, one of our favourite is pool and Bubble disco. I love Hard Rock hotels style nice music and that’s way I like it. Cheers!!!!

 

The Family Holiday in Koh Ngai, Thailand. 2010

Thanya beach resort

 

Another beautiful Island, was a low season so we had all beach for ourself and that we call fun. We stayed at Koh Ngai Thanya Resort kwenye kisiwa kuna only 5 hotel maana ni kisiwa kidogo tu. Nimeondoka na kumbukumbu ya aina yake toka kisiwani  hapa wacha nidondoke toka kwenye boat siku yetu ya kwanza tu tulivyofika. Bahari kidogo ilikua haijatulia mrembo mimi naanza telemka toka kwenye boat somehow mahesabu yangu yakakataa kutokana na boat kucheza cheza nilichojistukia niko chini mzima mzima na vitu vyangu vyote ndani ya maji kwa kweli ilichekesha sana ila nilichukia kweli pale nilipoona watu wote wanacheka. Maskini simu yangu mpya wacha ilowe na maji ya chumvi ndio ikawa mwisho wake but anyway sikutaka holiday yangu iende vibaya muda mchache ikabidi nichangamke na kuanza kuenjoy and that’s way I like it. Cheers!!!!!

Family Holiday in Khao Kheeo, Thailand. 2010

Flight of the gibbon

 

What an adventure!  Baada ya kuenjoy Pattaya tukaenda Khao Kheeo kupata adventure ya Flight of the Gibbon ni sehemu maalum imetengwa kwa ajili ya national park. Tulifikia Estete ni Tents hotel ina mandhari ya kuvutia sana. Pia nilifurahishwa sana na design ya bathroom zake ambazo zilikua zina usafi wa hali ya juu. Kipindi hiki kilikua ni cha mvua kidogo ambapo kwa upande wangu nilifurahia sana kulala kwenye tents huku mvua inanyesha ilinikumbusha mbali sana enzi hizo nilipokua nafanya kazi Red Cross Kasulu Kigoma Tanzania.

Was nice kuona upande mwingine wa Thailand ambapo huku ni mainland. Na kupata adventure ya kutembelea Zoo mida ya usiku ambapo tuliweza kumsogelea Tiger kwa karibu zaidi and of course without forget Flight of the Gibbon oh dear another new adventure in my life, that’s way I like it. Cheers!!!!

Family Holiday Krabi, Thailand. 2010

At Sunrise resort Krabi with my kids

 

Siamini mara ya kwanza nilikuaja hapa miaka saba iliyopita, hii ni mara yangu ya nne. Kitu cha kuchekesha na kizuri ni kwamba kila tukirudi wanatupa the same room ambayo tulikaa 2003 how sweet. Sunrise Resort and Railay never disappointed us and again we had an awasome time. No adventure this time just relax and enjoy until next time cheers!!!!