
Safari yetu ya Thailand iliishia tena Bangkok ambapo tulikaa siku moja ambapo kesho yake tulikua tunaelekea Sri Lanka.
Weekend hii tuliamua kwenda countryside na kufikia kwenye hii hotel ambayo imefunguliwa mwaka huu huu. Ilituchukua masaa mawili na nusu kutokea Muscat kufika hapa. Hotel iko juu kabisa kwenye mountain na hali ya hewa ni nzuri sana hasa kipindi hiki ambacho Muscat ni 42 na huku juu ilikua only 23. Nasikia kipindi cha winter huku ni baridi sana inaweza fika mpaka 0. Tulivyofika tulifurahije sasa maana ni pazuri sana kama inavyoonyesha kwenye picha :)
Our anniversary dinner tulikula hapa na kusema ukweli ni pazuri sana. Kama wanavyosema wenyewe ni 7 Star hotel ambapo iko pekee duniani sijui ni kweli au la, ila nachoweza sema sijaona hotel kama hii na huduma yao ni super. Restaurant ikiwa imezungukwa na aquarium kubwa yenye samaki wa kila aina inapendeza sana. Tuliweza kumuona Mr. George ambaye amekuwepo hapa toka hoteli ilivyofunguliwa. By the way Mr. George ni samaki lol! Ukiangalia kwenye picha yuko mkubwa hivi ambae ana sura ya tofauti. Baada ya dinner walitupa another cake ya kutuwish ikiwa ni cake ya pili toka tuwasili kwenye hii hotel and was supper yummy :)
This was my last night in Dar es Salaam and since the next day was my birthday, what a treat it was to wake up in a lovely hotel like this. Too bad I checked in late though after spending almost 6 hours at the hair salon. I couldn’t leave the salon any earlier though because it was my last day and I needed my hair to be done. After the salon I rushed to get to the hotel, and guess what? Somehow I forgot my purse at the salon! Yikes! So after checking in I had to rush all the way back to Mwenge to pick it up. By the time I got back to the hotel it was quite late, so I just took a few photos around the hotel before heading off to bed. It was so relaxing. I fell asleep dreaming of seeing my wonderful husband soon :))
My three weeks in Bongo begin by taking my wadogo Tina and Flora for brunch at the Hyatt Regency which they did enjoy it very much. Kwangu mimi nilikua nasubiri kwa hamu muda ufike nikimbilie uswahilini nikajilie chakula cha kitanzania lol! :)
What a beautiful day in Shangri-La hotels, after breakfast we decided to walk around the hotels and took some pics and they look great!!!:)))
Safari hii tulikaa Banyan Tree Hotel Bangkok baada ya kucheck in tulielekea kwenye room yetu OMG room yetu ilikua wow! Tulichukua Club Suite ambayo ilikua ni breath taking. Baada ya kupumzika kidogo nilimuachia hubby watoto and mum alielekea shopping maana Bangkok na shopping ndio kwenyewe. Usiku hubby treated me a dinner at the roof top restaurant ambayo ilikua amazing and the food was delicous bila kusahau the view is to die for. Kids tuliwaacha na babysitter ambapo Hubby alikua amesha arrange, haya ndio mambo ya Thailand bwana :))))))