Tag Archives: kwenye

Summer Holiday 2014-Day 1-Bangkok, Thailand

Vacation yetu tulianzia Bangkok ambapo tulifikia kwenye hotel ya Labua State Tower. Tulifikia kwenye room ambayo iko kwenye nafasi kubwa ambapo ilikua na compliment ya kupata kila siku Afternoon Tea bure kwenye mida ya kuanzia saa tisa jioni. Hakuna kitu nachopenda kama High tea (afternoon tea) kwa hiyo kwa upande wa mama hapa palikua ni mahala pangu :-) Tuliingia Bangkok kwenye mida ya mchana ambapo baada ya kufika hotelini tulipata nafasi ya kupumzika. Baadae tulielekea kwenye private club ambapo ndio waliakua wanatoa huduma ya afternoon tea. View ya huku juu ni hatari sana unaweza kukubaliana nami ukiangalia picha panapendeza sana.

 

Family at Alila Resort, Oman-Weekend getaway 2014

Mr. Amani
Mr. Amani

Maji ya pool yalikua baridi ila kama unavyoona watoto hawataki toka kwenye maji mpaka giza linaingia kama inavyoonekana kwenye picha lol!

At Alila Resort, Oman-Family weekend getaway. July 2014

My babies
My babies

As soon tumefika tu familia yote ikakimbilia kwenye pool lol! The view from the pool is incredible. Kama inavyoonekana kwenye picha kila sehemu ukiangalia ina view nzuri sana. Too bad mama alisahau kupaki nguo za kuogelea sikuweza kuogelea kabisa :)

Family weekend getaway at Alila Resort, Oman-July 2014

With my babies
With my babies

Weekend hii tuliamua kwenda countryside na kufikia kwenye hii hotel ambayo imefunguliwa mwaka huu huu. Ilituchukua masaa mawili na nusu kutokea Muscat kufika hapa. Hotel iko juu kabisa kwenye mountain na hali ya hewa ni nzuri sana hasa kipindi hiki ambacho Muscat ni 42 na huku juu ilikua only 23. Nasikia kipindi cha winter huku ni baridi sana inaweza fika mpaka 0. Tulivyofika tulifurahije sasa maana ni pazuri sana kama inavyoonyesha kwenye picha :)