Tag Archives: money

Last day at Burj Al Arab hotel, Dubai-Celebrating our 10th wedding anniversary, 2014

Selfie with my hubby
Selfie with my hubby

Hii ilikua ni siku yetu ya mwisho tukaona why not ngoja tuzunguke zunguke na kupiga picha lol! For sure tutarudi tena tukisha save enough money lol! maana lazima mfuko ujae kwanza kabla ujaamua kukaa hapa but it’s worth it! :)