Universal Studios Orlando, Florida-Our around the world trip Nov-Dec 2013-Day 2

Universal Studios
Universal Studios

Universal Studios day 2. Leo tullikuja kwenye park nyingine ambapo, siku moja kwenye hizi park haitoshi so inabidi ukijipanga kuja lazima ujitahidi kuweka siku mbili au zaidi ndio utaenjoy zaidi na utapata nafasi ya kutembelea na kujaribu ride nyingi zaidi. Watu walikua wengi sana siku ya leo kutoka na thanksgiving week ambapo hapa America ni holiday kubwa so kila sehemu uwendayo unakumbana na foleni na misururu mirefu ila tunashukuru tuliweza tembelea sehemu nyingi na watoto walifurahi sana. :)

With my girl
With my girl

 

Amani and Malaika
Amani and Malaika

Kulikua na kiubaridi siku ya leo ukilinganisha na jana ambapo jua lilikuwepo leo mawingu yalikuwepo kwa sana.

Hubby and kids
Hubby and kids

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Universal Studios
Universal Studios

 

Amani and Malaika
Amani and Malaika

 

Harry Potter film wizardry
Harry Potter film wizardry

 

Harry Potter film wizardry
Harry Potter film wizardry

Eneo hili la Harry Potter watu walikua wamejazana hatari unatembea utafikiri uko sokoni jinsi msongamano inaonyesha wengi wanapapenda sana.

Harry Potter film wizardry
Harry Potter film wizardry

 

Nikimsindikiza Amani lol!
Nikimsindikiza Amani lol!

 

This turkey leg was so big
This turkey leg was so big

Oh dear! Uwezi amini jinsi this turkey leg ilivyokua kubwa yaani watu wanakula kama vile snacks tu. Nikajionea ngoja nami nijaribu maana nisije pitwa nikajisemea must be delicious. Sasa nilikomaje yaani kwanza ni kubwa inaonekana kama vile si ya kweli like plastic vile na ina radha kama ya plastic I mean haina test kabisa nilikomaje ikabidi niitupe kwenye bin tu hakuna jinsi yaani ni mbaya kweli. Nikajiuliza inakuaje watu wanaishabikia na kuila kwa wingi kiasi hiko wakati aina radha kabisa? Ni swali najiuliza mpaka leo but sina jibu, hubby wacha anicheke, kimbele mbele chote kikaniisha lol!

This only happen in Amarica lol!
This only happen in Amarica lol!

 

Binti Malaika very happy to be here
Binti Malaika very happy to be here

 

Jurassic Park
Jurassic Park

 

Universal Studio
Universal Studio

 

Universal Studios
Universal Studios

 

Binti Malaika mwenyewe
Binti Malaika mwenyewe

 

Happy boy
Happy boy

 

 

2 thoughts on “Universal Studios Orlando, Florida-Our around the world trip Nov-Dec 2013-Day 2”

    1. hahahaa… yaani hiyo sikuila kabisa wenyewe wanaila kwa staili hiyo nikasema ngoja nijaribu lo ni mbaya hatari hahahahaa…
      So my Mercy ilibidi niitupe kwenye bin hapo nimepiga picha kuonyesha tu hahahaaa…
      xoxo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *