Viva Las Vegas-Our around the world trip Nov-Dec 2013

Helicopter tour Las Vegas strips
Helicopter tour Las Vegas strips

To be honest, I loooove Las Vegas kwa kweli na safari hii haijatuangusha kabisa still the same Vegas :) Ikiwa ni mara yangu ya pili kuja hapa na safari zote nimejionea muda ni machache na kutaka kuendelea kuwepo hapa maana kuna mambo mengi ya kufanya kwenye huu mji uliyojengwa Jangwani. Uzuri wa hapa kuna kila kitu kwa kila mtu sidhani kama kuna yeyote ambaye kafika hapa na akashindwa kupata kitu cha kufanya. Pia watu wengi wanadhani ukisikia Las Vegas ni mambo ya kamali tu, la kuna vitu vingi vya kufanya hata kwa watoto pia.

Las Vegas Strips
Las Vegas Strips

 

With my girl
With my girl

Tulianza mchana wetu siku ya leo kwa kuzungukia Las Vegas strips ambapo huu mtaa ni mashuhuri sana Vegas na utauona mara nyingi kwenye movie nyingi pia matangazo mengi yanayohusu Las Vegas. Na uzuri mwingine unaruhusiwa kutembelea hotel zote zilizopo hapa na kupata nafasi ya kupiga picha za kumbukumbu ila wanaruhusu sehemu za lobby tu kama wewe si mgeni wa hiyo hotel but still kuna uzuri wake maana kila hotel ina umaarufu wake na ni nzuri sana.

At Caesars Palace with my girl
At Caesars Palace with my girl

 

Our 1st hello kitty dude lol!
Our 1st hello kitty dude lol!

 

At Eiffel tower hotel Las Vegas with my girl
At Eiffel tower hotel Las Vegas with my girl

 

Las Vegas strips
Las Vegas strips

 

With my girl at Las Vegas strips
With my girl at Las Vegas strips

 

Binti Malaika at Rainforest Cafe
Binti Malaika at Rainforest Cafe

 

Rainforest Cafe
Rainforest Cafe

 

At the Airport
At the Airport

Jioni tulipata nafasi ya kuzungukia Las Vegas tukiwa angani na helicopter. Tulianza safari hii pale tu jua lilipozama na kupata view ya namna ya kipekee. The tour ilikua ni around Las Vegas strips ambapo hotel karibu zote mashuhuri zilipo, mai mai the view was breathtaking! For sure, I would like to do it again :)

Helicopter tour Las Vegas strips
Helicopter tour Las Vegas strips

 

With my babies ndani ya helicopter
With my babies ndani ya helicopter

 

Amani and I ndani ya helicopter
Amani and I ndani ya helicopter

 

Breathtaking view from top
Breathtaking view from top

 

Breathtaking view
Breathtaking view

 

The view of Stratosphere hotel, we stayed here on our honeymoon 2004 and we had dinner at the top of the world restaurant ambayo inazunguka wacha nishangae mtoto wa watu enzi hizo lol!
The view of Stratosphere hotel, we stayed here on our honeymoon 2004 and we had dinner at the top of the world restaurant ambayo inazunguka wacha nishangae mtoto wa watu enzi hizo lol!

 

With my family after our experience. What can i say is "WOW"
With my family after our experience. What can i say is “WOW”

 

Oh yeah! We had to stop in Hooters for some souvenirs lol!
Oh yeah! We had to stop in Hooters for some souvenirs lol!

 

mama Amika in Vegas
mama Amika in Vegas

 

The best way to see Vegas is by walking.
The best way to see Vegas is by walking.

 

At Las Vegas Strips
At Las Vegas Strips

2 thoughts on “Viva Las Vegas-Our around the world trip Nov-Dec 2013”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *