Tag Archives: binti malaika

Off to Rarotonga, Cook Islands-Our around the world trip Nov-Dec 2013

Binti Malaika
Binti Malaika

Was about time to say goodbye to America tulikua tumeshachoka na tunahitaji some sunshine and beach lol! Tuliondoka kwa ndege ya United Airline kutoka San Francisco to Los Angeles tukitokea then pale tukachukua Air New Zealand to Rarotonga, Cook Islands. It’s about 9 hours from Los Angeles to Rarotonga. Visiwa hivi vikiwa chini ya serikali ya New Zealand, na watu wanaoishi hapa ni Polynesian. Mara ya kwanza kuona hivi visiwa ilikua kwenye American reality tv show ya survivor. So I was very happy to be here :)

With my babies
With my babies

 

With my girl
With my girl

 

With my girl
With my girl

 

The beach
The beach

 

My kids
My kids

 

With my kids
With my kids

 

Mr. Amani
Mr. Amani

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

mama Amika
mama Amika

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

At Bellagio Hotel Las Vegas, USA-Our around the world trip Nov-Dec, 2013

At Bellagio Hotel Las Vegas
At Bellagio Hotel Las Vegas

I do love this hotel nikipata nafasi ya kurudi tena Las Vegas nitajitahidi lazima nikae tena hapa lol! Nadhani siko peke yangu kwenye hili maana Amani na Malaika waliataka kukesha kwenye dirisha so waone dancing water ambayo kuanzia saa mbili usiku, shoo ilikua kila baada ya dk 15. Ilibidi tufunge mapazia na kuzima TV ili tusione au kusikia music tuweze lala la sivyo nadhani tungekesha :) I did well kwa kweli nilichagua hotel nzuri maana ilikua muda wa mama kuchagua hotel anayopenda :)

at Bellagio hotel
at Bellagio hotel

 

Outside view Bellagio hotel
Outside view Bellagio hotel

 

The view from outside Bellagio fountain
The view from outside Bellagio fountain

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Mr Amani
Mr Amani

 

Malaika and Amani outside Bellagio hotel
Malaika and Amani outside Bellagio hotel

 

At Bellagio hotel
At Bellagio hotel

 

Hubby enjoys bellagio fountain from our room window
Hubby enjoys bellagio fountain the view from our room window

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

She didn't want to miss anything she had to sit here lol!
She didn’t want to miss anything she had to sit here lol!

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

The view from our room, Las Vegas by night
The view from our room, Las Vegas by night

 

Binti Malaika at Bellagio Hotel
Binti Malaika at Bellagio Hotel

 

Binti Malaika at Bellagio hotel
Binti Malaika at Bellagio hotel

 

At Bellagio hotel
At Bellagio hotel

 

At Bellagio hotel
At Bellagio hotel

 

At Bellagio hotel
At Bellagio hotel

 

The view from our room at Bellagio Hotel
The view from our room at Bellagio Hotel

Our around the world trip Nov-Dec 2013-Funchal, Portugal

 

With my girl in Funchal, Madeira Islands
With my girl in Funchal, Portugal

Funchal city begins at the harbour and raises almost 1200 mt high on the gentle slopes. Funchal’s position provides a natural shelter and was what attracted the first settlers. The best harbour and the best climate combined with an excellent geographical.

I love this pic very much as you can see all of us in the taxi including taxi driver and view of the Funchal, Madeira
I love this photo hasa inavyoonyesha kwenye kioo cha gari kila kitu kinachoendelea hapo

Today is Friday, Nov 8th tuliwasili Funchal at 8.30am. Tukiwa tumekodi single personal tour ambaye tulimkuta nje pale tu tulipotoka nje ya meli then tukaanza tour yetu ambayo ni karibu siku nzima. Kwanza tulianza kwa kuendesha around the city na kupata view ya mji

With my girl in Funchal, Madeira Islands Portugal
With my girl in Funchal, Portugal

 

Binti Malaika in Funchal
Binti Malaika in Funchal

 

Binti Malaika in Funchal
Binti Malaika in Funchal

Hapa tulisimama kuangalia kiwanda kidogo ambapo tulipata nafasi ya kuona vitu mbali mbali ambavyo vinatengenezwa kwa kutumia mikono. Baada ya hapo tukapata cup of tea then tukaendelea na safari yetu

Mama Amika in Funchal
Mama Amika in Funchal

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

Amani wangu
Amani wangu

 

With my baby girl
With my baby girl

 

With my girl, Malaika
With my girl, Malaika