U better try this…

Guys, tangu nianze maangaiko ya kupunguza uzito nimejaribu viatu vya aina nyingi until nilipokumbana na hivi hapa. Since then vimebadili maisha yangu, nimekua navitumia kila wakati nikienda for a walk. Hakika nawaakikishia wote ambao mnasumbuka kutoa matako na mapaja, kwangu mimi vimefanya kazi kubwa leo hii navaa UK size 10 na jeans pia.

Kwa ajili ya mazoezi ya kutembea
Nimeshavitumia zaidi ya mwaka

Pia wametoa¬† FLIP FLOP za aina tofauti zenye staili za kila aina ambazo unaweza kuvaa wakati wowote unapotembea. Mimi vyangu natumia sana nikienda shopping, kama mnavyojua shopping inaweza kukuchukua karibu masaa matatu au zaidi huku ukiwa unatembea hapa na pale. Pia nikiwa busy na watoto hasa tukienda park au kipindi nachowapeleka shule na kuwachukua. Leo hii nikiangalia miguu yangu na matako yameisha kabisa ila kuwa muangalifu kwa wale ambao hawataki kupunguza au kukomaa sehemu hizo lol! maana zinakomaa na kuwa sexy kweli :))))). Unaweza kujaribu na wewe uone, ziko kidogo expensive but it’s worthy.

Hapa nikiwa navyo Airport
Hapa nikiwa navyo hotelini
Hapa nikielekea navyo Elephant adventure

 

 

 

 

 

One thought on “U better try this…”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi