Swiss Farm Cottage Lushoto, Tanzania Part 1

Beautiful place

 

Jamani Swiss Farm Cottage ni nzuri sana, asante sana Adrienne kwa kunitambulisha nyumbani  kwenu. Tulipapenda na kuzuri sana pia mama alitukaribisha na chocolate cake ambayo ilikua tamu ajabu wacha tule na kumaliza siku hiyo hiyo kesho yake tukaoda nyingine ya kuondoka nayo lol! Tulipapenda sana tena sana, cheers!!!!!:)))))

 

3 thoughts on “Swiss Farm Cottage Lushoto, Tanzania Part 1”

  1. the place seems to be very nice and cool, i must go kweli yaan hata hapooo! ah ah ah ah ah , mliinjoi sana, lovely pic

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *