Category Archives: Cook Island

@ Saturday market in Rarotonga, Cook Islands-Our around the world trip Nov-Dec 2013

mama Amika in Rarotonga Cook Islands
mama Amika in Rarotonga Cook Islands

Leo ilikua ni siku yetu ya mwisho hapa Cook Islands. Tuliondoka usiku na Air New Zealand to Auckland then another flight to Sydney, Australia.Muda wa asubuhi tuvisit local market ambapo tulipata nafasi ya kufanya shopping kidogo pia kupata local lunch. Kitu kilichonifurahisha zaidi ni kupata nafasi ya kuona local musician wakiimba na kucheza, lovely :)

With my girl
With my girl

 

Local music show
Local music show

 

mama Amika
mama Amika

 

Poor boy seems like he didn't like it at all
Amani tried to help but poor boy seems like he didn’t like it at all

One foot Island, Aitutaki-Our around the world trip Nov-Dec 2013-Part I

With my boy Amani in paradise
With my boy Amani in paradise

The sea water around this area is so clear and the beauty of the lagoon is wow!. Tulistop hapa One foot island home of Survivor Cook Islands kwa masaa kadhaa na kupata  muda wa kuswim na kurelax. Our tour guard alikua mmoja wa local ambao walihusishwa wakati wanarecord kipindi hicho so alikua na habari nyingi kweli za kutueleza lol! The guy is so nice na anavichekesho kweli :)

Home of Survivor Cook Islands
Home of Survivor Cook Islands

 

home of Survivor Cook Islands
home of Survivor Cook Islands

 

Beauty
Beauty

 

Snorkling with big fish
Snorkling with big fish

 

Snorkling with big fish
Snorkling with big fish

 

mama Amika in Paradise
mama Amika in Paradise

 

With my babies in paradise
With my babies in paradise

 

mama Amika
mama Amika

 

With my girl
With my girl

 

Snorkling time
Snorkling time

 

 

The ocean water so clear
The ocean water so clear
Binti Malaika
Binti Malaika

 

Amani wangu
Amani wangu

 

Aaww...
Aaww…

 

Aitutaki, Cook Islands-Our around the world trip Nov-Dec 2013

Family love, thanks mpiga picha Amani
Family love, thanks mpiga picha Amani

Siku yetu ya pili hapa Aitutaki Island tuliitumia kwa kurelax kwenye beach, huku Amani na Malaika wakitumia ipatasavyo siku hii kwa kucheza na kuswim all day lol! Watoto wangu wanapenda sana outdoors ni kwamba walivyokua USA walikua kama wamefungiwa vile, tulivyotua tu Cook Islands walijiachia ipasavyo:) Beach za hapa ni nzuri sana, maji yake meupe pia yenye kina kifupi sana ambapo unaweza kutembea kwa umbali mkubwa bila kupata kina kirefu.

With hubby
With hubby

 

My babies
My babies

 

Binti Malaika
Binti Malaika

 

My babies
My babies

 

kaka Amani
kaka Amani

 

baba na mama Amika
baba na mama Amika

 

mama Amika
mama Amika

 

The beach
The beach

 

Atuitaki lagoon
Aitutaki lagoon

 

with my babies
with my babies