Faces of Malaika in 4yrs!

Three months old

 

Awwww..my baby girl Malaika anafikisha leo tarehe 21st Sept. miaka 4 wow! Ama kweli amekua eti ananiambia mama usiniite baby any more I’m a big girl now. Jamani kama mama wengine wote nafurahi mwanangu anakua ila pia naogopa maana ule ubaby wote unaanza kupotea kama anavyoonekana kwenye hizi picha jinsi anavyobadilika siku hadi siku. Eti siku kama ya leo miaka minne iliyopita nilikua hoi hospital baada ya kusukuma kilo 4.5 ya binti huyu mrembo duniani. What a day, I’m happy I did it. When I look at her I feel very proud :)))))

12 thoughts on “Faces of Malaika in 4yrs!”

  1. Happy Birthday ma baby malaika ua so cute……… Jamani hongera sana na Mungu akukuzie ua so blessed sis…………

  2. happy birthday malaika anty Tina loves you soo sooo much i just cant expain it,mwaaah lv looong…nakupenda
    xo xoxoxo xo…

  3. very cute jaman tabasamu lake tu me nampenda zaidi akinuna mzuri akicheka ndo zaid all the best mika

  4. Sisy Zawadi, just cant explain da way i lov u. I saw ur pics it waz 2007 when i was form5 ruvu. I went to another xul but lots of ur memories plus pictures of u and Amani. I told Tina Amani will be ma friend alywas. Im happy now u ave Malaika may God bless you abundantly but next time when u come plz plz wanna see u with my eyes zawadi. With lots of love its me Ester Magita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Safiri na Zawadi